Jumapili, 29 Januari 2017

BOND ALAZIMIKA KUACHANA NA MADAWA YA KULEVYA AINA YA MIRUNGI ILI ASIMKOSE MREMBO WASTARA

Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka zaidi  kwa kudai kuwa moja kati ya sababu  ambayo ilichangia akaachana na mpenzi wake wa sasa Bond Bin Sinan na  kuolewa na mwanaume miwngine, ni matumizi ya mirungi pamoja na pombe


.Hatua hiyo ilimfanya Bond kujiuliza mara mbili mbili na ndipo alipoamua kwenda rehab kuachana na ulevi huo ili apate nafasi ya kurudi kwa malkia huyo wa filamu.
Wastara alidai ulevi huo wa Bond ulimsababisha yeye asiwe na furaha na kuamua kumuacha ili aendelee na maisha yake.
“Ukweli ni kwamba kuna issue nzito ilitokea kati ya mimi na Bond mpaka Bond mwenyewe aliamua kutoa ushuhuda na kutubu juu ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya mirungi,” Wastara alikiambia kipindi cha FNL cha EATV.
“Mpaka aliamua kuondoka mwenyewe kwenda mbali na mazigira ambayo mimi nilikuwa naishi, alikuwa anatafuta njia ya kujisaidia ili aache vile vitu ambavyo binafsi nilikuwa sivipendi,” aliongeza Wastara.

Muigizaji huyo amedai baada ya tukio hilo alishauriwa na ndugu zake kuolewa na Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma lakini ndoa hiyo haikudumu wakaachana.
Kwa sasa Bond na Wastara wamerudiana na wanaendelea na mahusino yao baada ya Bond kufanikiwa kuachana matumizi hayo ya Madawa ya kulevya aina ya mirungi.

ALIKIBA

Ali Saleh Kiba maarufu kama Alikiba ni miongoni mwa wasanii wakongwe na wakubwa Tanzania,wanazidi kufanya vizuri na kupeleka muziki wa hapa bongo Afrika Mashariki na pengine Dunia nzima kwa ujumla. Ni mshindi wa tuzo zaidi ya 14 kwa mwaka 2016 ikiwezo tunzo kubwa kabisa za MTV EMA kwa kipengele cha Best African Act.


Kwa mafanikio makubwa aliyoyapata mwaka jana ikiwemo  mkataba mnono wa kampuni kubwa ya muziki duniani yaani Sony Music na kushinda tuzo mbalimbali  ndani ya mwaka 2016 ni wazi kabisa kuwa thamani ya Alikiba imepanda na inazidi kupanda maradufu barani Afrika na pengine, kila mfuatiliaji wa muziki Afrika angependa zaidi kumfahamu Alikiba, pamoja  kazi zake, ni wapi ametoka, alipo sasa, na wapi anakwenda.
Ushindi wa MTV EMA pia ambao awali alipewa Wizkid kabla haujatenguliwa na kupewa Alikiba ni mambo yaliyofanya apate attention zaidi kwenye soko la muziki barani Afrika.
Sekeseke lilitokea mwaka jana kwenye show ya Mombasa rocks iliyofanyika mjini Mombasa, Kenya kati ya Wizkid na Alikiba ni moja kati ya mambo ambayo yalifanya jina la Alikiba lizungumzwe sana barani Afrika haswa Tanzania, Kenya na Nigeria ambapo mitandao mbalimbali ya Nigeria iliripoti kua Alikiba anatrend sana nchini Nigeria.

Kutrend ni kitu muhimu sana katika soko la muziki kwa sasa, wasanii wengi duniani kote hata mpaka Marekani wamekuwa wakitengeneza kiki kabla ya kuachia kazi zao mpya ili kupata attention. Nafahamu kuwa msanii Alikiba amekuwa sio muumini mzuri sana wa kiki, lakini kiki kama hizi ambazo zinajitengeneza zenyewe ni dhambi kubwa kuacha kuzitumia kibiashara sababu kuna wanaotamani kutrend hata kwa kutembea uchi lakini hawazipati.
Mapema mwaka huu Alikiba alitangaza ratiba ya World Tour yake itakayoanzia South Africa kisha America na kumalizikia barani Ulaya. Kwa mujibu wa ratiba kutoka kwenye posters zake alizozipost Instagram Tour yake inaanza February mwaka huu. Hivyo mpaka ninaandika makala hii zimebaki siku tatu kufikia mwezi February.
Kati ya sehemu ngumu sana kupenya kimuziki barani basi ni Afrika Kusini na hii imetokana na ‘wasauzi’ kuthamini sana muziki wao na haikushangaza licha ya jina kubwa alilojijengea Diamond Platnumz kwenye kiwanda cha muziki barani Africa aliwahi kaririwa akisema amefanya collaboration na AKA ili kupenyeza muziki wake África Kusini.
Nadhani si Mimi ila asilimia 98 ya mashabiki hawaridhishwi na namna ambayo Alikiba amekuwa slow sana na kutojua namna soko la mUziki linavyoenda na nini linataka. Ni jana kupitia mtandao wa instagram msanii wa maigizo ambaye pia ni shabiki mkubwa wa msanii Alikiba alipost kipande cha screenshot kikionesha ujumbe aliotumiwa na shabiki mwingine wa Alikiba DM kua Ali atapoteza mashabiki wake sababu hawapi raha wanayoitaka, siku zote amekuwa mtu wa kujiamini na kuwasibirisha mashabiki wake ambao ukweli bila wao asingekua hapo halipo leo.
Sasa wasiwasi wangu ni je? Alikiba anategemea kujaza viti kwa kuitegemea nyimbo ya Aje pekee? Target yake kwenye hii tour ni kuifanya iwe ya kidunia au analenga waTanzania pekee wanaoishi kwenye nchi husika? Aliahidi atatoa Aje remix ambayo ni nyimbo aliyoimba na msanii kutoka Nigeria MI Abaga lakini mpaka zimebaki siku tatu kabla hatujaingia mwezi anaoanza tour hakuna dalili ya hiyo nyimbo?

Binafsi nilidhani ingekuWa sahihi sana kama angeachia nyimbo ambayo amesharekodi mama mkongwe Yvonne Chakachaka kwa lengo la kuiteka zaidi South Africa kibiashara zaidi ili jina lake liwe kubwa nchini humo hata wakati wa Tour yake angetumia pia na fursa hiyo kufanya media tour kuitambulisha zaidi hiyo ngoma.

Mwaka mpya umeanza kwa kasi kweli kila mtu yuko kasi lakini naona Alikiba bado yule yule.

GENEVIVE MISS TANZANIA 2010 AMEACHIA NGOMA YAKE YA NANA


 Genevieve Emmanuel amabe alikuwa miss Tanzania 2010 nae ameingia katika orodha ya wasani kwa kutoa ngoma yake mpya ya nana ambayo inatrend sanagoma hiyo imetayarisha na Luffa.


Dondoka youtube uwe wa kwanza kuisikila  nyimbo ya Genevive Emmanuel Miss Tanzania 2010

Ijumaa, 13 Januari 2017

AKOTHEE AMEFUNGUKA JUU YA TETESI YA KUMLIPA DIAMOND MIL 36

Muimbaji wa Kenya, Akothee amefunguka tetesi zilizosambaa sana kuwa alimlipa Diamond Platnumz kiasi cha shilingi milioni mbili za Kenya ili ashiriki katika wimbo wake wa ‘Sweet Love’. Kiasi hicho ni takriban shilingi milioni 36 za Tanzania.



Akiongea katika kipindi cha runinga cha Talk Central cha K24, Akothee amekataa kuweka wazi lakini amedai kuwa fedha hiyo ni kitu kidogo kwa kuwa na kama wimbo huo usingekuwa mzuri wangeomba warudishiwe fedha yao.
“What is two million shillings? No! am not saying no but am not saying yes, am saying why 2 million. Is the song good, we don’t have to talk about price if the song is not good then if we have paid we will ask our money back,” amesema Akothee.
“And now the song is doing well let’s just talk about the song,’ ameongeza.

Mpaka sasa wimbo huo umefanikiwa kutazamwa mara 3,383,577 kwenye mtandao wa YouTube na umekuwa wimbo wa kwanza wa muimbaji huyo kutazamwa zaidi katika mtandao huo.

MAJANGA YAMKUTA SOULJA BOY AKIJIANDA NA PAMBANO NA CHRIS BROWN

Wakati wa maandalizi ya pambano lake la ngumi kati ya Chris Brown, majanga yameanza kumkuta rapper Soulja Boy.


Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Jumanne hii nyumba ya rapper huyo iliyopo Hollywood Hills ilivamiwa na mwizi aliyefanikiwa kuondoka na fedha kiasi cha $10,000, pamoja na vitu vyenye thamani ya $12,000.

Hata hivyo imedaiwa kuwa kamera zilizofungwa katika eneo hilo zimefanikiwa kupata picha ya mwizi huyo ambapo polisi wanaendelea na umfuatiliaji. 
Japo kumekuwa na mvutano juu ya pambano lake na Chris Brown lakini hakuna ushahidi wowote unaonyesha kuwa wizi huo umefanywa na watu wa upande wa Chris kama kumchanganya Soulja 


JOH MAKINI KUBEBWA KISANAA SIJASEMA KWA UBAYA- YOUNG KILLER


Msanii wa muziki wa hip hop Young Killer anadaiwa kumdiss Joh Makini  msanii wa Hip Hop kwenye wimbo yake mpya ‘Sina Swaga’ akidai kwamba anabebwa sana kisanaa


“Mimi sijaiongea kwa ubaya, nimeielezea kwa sababu hata Chidi Benz alishawahi kuizungumzia, lakini Joh kwangu ni msanii ambaye namkubali na kama nikisema nimweke kwenye list, tatu bora yupo,” Young Killer alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV

Pia rapper huyo alidai kuwa kuna ushaidi mwingi wa picha kwenye blog tofauti zinazoonesha jinsi Joh anavyotuhumiwa kubebwa kisanaa na kusema hana tatizo na Joh Makini na hata akikutana naye atamsalimia.

ALPHA KUTAJA NYIMBO KADHAA AMBAZO HUSIKILIZA ZAIDI

Mshindi wa shindano la Tusker Project Fame msimu wa 3, Alpha Rwirangira alifanikiwa moja ya ndoto kwa kuhitimu shahada yake ya kwanza katika fani  yake ya Masoko na Muziki December 2015


.Ameendelea kukaa nchini humo huku akiendelea kufanya shughuli zake na pia muziki hajauweka kando. Muimbaji huyo amezitaja nyimbo kadhaa ambazo anazisikiliza zaidi kwa sasa kuwa ni:

5. Dume Suruali – Mwana FA f/ Vanessa Mdee
4. Aje – Alikiba
3.Salome – Diamond Platnumz f/ Ray Vanny
2.Muziki – Darassa
1.Ya Mungu – yake mwenyewe

SELINE AFUNGUKA KWA WA SANII WAKIKE KUTUMIA SKENDO KUJIPATIA UMAARUFU

Msanii wa kike  ambae aliyewahi kuwa chini ya label ya The Industry iliyo chini ya kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wasanii Aika na Nahreel, Seline amefunguka  sana kuhusiana na wasanii wa kike kutumia skendo kwa kujiongezea umaarufu.



Akizungumza na Mtangazaji Pk5tz wa kipindi cha Extra Fleva cha Uplands FM ya Njombe, Seline ambaye sasa yupo chini ya usimamizi wa Producer Mona Gangstar wa Classic Sound, amesema kitu anachokichukia kwa sasa ni wasanii wa kike kutumia skendo kwa ajili ya kupromote kazi zao.


Seline amedai wakati mwingine ni nzuri sababu zinamfanya msanii azungumziwe ingawa wakati mwingine ni vyema msanii akaamini katika kipaji alichonacho kwakuwa skendo zina changamoto yake.

Jumatano, 11 Januari 2017

IZZO BIZNESS NI MMOJA YA WATU ALIOSAIDIA NA CHIDI BENZI ALIPOFULIA

Ditto alizungumza kwa ufupi akasema katika watu wenye roho nzuri ya kusaidia watu Chidi Benzi ni namba moja.


 Izzo Bizness amekiri kuwa mmoja wa watu walionufaika na ukarimu wa Chidi Benz.
“Hata mimi wakati sina kitu yaani, unakuta unampigia simu [Chidi Benz] ‘ebana eh inakuaje uko wapi? Hebu njoo tukutane Ubungo.’ Unaenda unachezea labda shilingi 50 fulani, shilingi 30,” alisema Izzo .

Q CHIEF NDANI YA WCB


Label kubwa ya muziki nchini, WCB ya Diamond Platnumz,  a k aT Baba Tiffah  huwenda ikamsaini msanii mkongwe wa muziki nchini  Q Chief anaetamba  na wimbo wa "Sungura"


Muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri  sana na wimbo  wa 'Si Ulinikataa’ hivi karibuni alitembelea katika ofisi za WCB na kufanya mazungumzo na uongozi wa label hiyo.
“Tayari nimenza kuyaa approach makampuni makubwa sana,” alisema Q Chief. “Kuna uwezokano nikasaini na mmoja ya wadogo zangu ambaye anafanya vizuri kuliko msanii yeyote hapa nchini,”
Aliongeza, kuwa  “Lakini si nasaini kwa sababu mimi ni mjinga, nasaini kwa sababu nataka kuudhihirisha mimi ni Abubakar Katwila na hakunaga Abubakar Katwila mwingine,”.


NYIMBO MPYA YA CHEGE FT NANDY- KELELE ZA CHURA


Msanii kutoka Tmk Wanaume Family, Chege Chigunda ameachia kichupa kikali  “Kelele za Chura”, amemshirikisha  mwadada Nandy, Producer Jobanjo.



Pakua kutoka mkito usikilize "Kelele za Chura"




DULLY SYKES KUACHIA WIMBO YAKE MPYA


Msanii mkongwe wa muziki nchini, Prince Dully Sykes anajipanga kisawa sawa kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Yono’ baada ya kufanya vizuri sana kwa wimbo  wake wa Inde ambao alimshirikisha  Harmonize wa WCB


“Mungu akipenda kesho naachia mkwaju wangu mpya wimbo unaitwa Yono, chorus ya wimbo nilipewa na Jose Chameleone toka mwaka 2003 baada ya kuipenda nikamwambia akaniruhusu kuitumia,” alisema Dully.
Pia aliongeza, Kwamba   mashabiki wangu wote  wakae mkao wa kula kwa sababu kazi iko poa sana i, pia itatoka pamoja na video yake kwa sababu kila kitu kipo tayari yaani tumejipanga,

MSANII JOH MAKINI AMESEMA MIPANGO YA KUACHIA ALBAMU

.

Mwaka huu wasanii wa muziki wa Bongo wamekuwa hamasa kuwa za kuachia albamu kwa kasi, Joh Makini amefunguka pia juu mipango yake kuachia albamu yake mwaka huu.

Rapper huyo amesema kuwa mpaka sasa ana albamu mbili ambazo zipo tayar bado  hajajua maalumu  muda wa kuachia albamu zake.  "mimi binafsi nina albamu mbili. Nikiwa tayari nitasema rasmi", amesema Joh.
h.
Master huyo wa Perfect Combo ameongeza kuwa mashabiki wakae tayari na watulie kuhusu kolabo zake alizofanya na Falz, Davido na YCEE (wote wa Nigeria) watazisikia kwa kuwa amezifanya nyimbo hizo kwa ajili ya


NEW VIDEO SEYI SHAY- YOLO YOLO


Msanii wa Nigeria Mwanadada Seyi Shay ambaye alifanya vizuri na nyimbo yake ya ‘Right Now’, ‘Crazy’ ambayo alimshirikiana na bwana mkubwa Wizkid. Ameachia tena kitu kikali cha “Yolo Yolo”.

.
Dondoka youtube uwe wa kwanza kucheki video

WORDS OF WISDOM OF THE DAY



"All the breaks you need in life wait within your imagination. Imagination is the workshop of your mind, capable of turning mind energy into accomplishment and wealth". Napoleon Hill


"Real success means achieving something that has real meaning and significance to you, and living a life that gives you joy and fulfilment every day". Grant Andrews, The Life of Your Dreams




SANAMU LA LIONEL MESSI LIMEVUNJWA

Sanamu la mchezaji maarufu  wa Argentina na Barcelona, anayejulikana kwa jina  Lionel Messi limekutwa limevunjwa na watu wasiojulikana likiwa limebakia na sehemu ya chini ya kiuno huku sehemu nyingine ikiwa  haipo kabisa.


Sanamu hilo lililopo mji wa Buenos Aires, Argentina lilijengwa kwa ajili ya kumshawishi Messi kurejea katika timu ya taifa baada ya kutangaza kustaafu, limekutwa likiwa nusu na bila kufahamu aliyefanya tukio hilo.
Serikali ya jiji la Buenos Aires imesema kuwa tayari wameanza kufanya maandalizi ili kulijenga tena sanamu hili liweze kurejea kama ilivyokuwa.

Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani

Rais Barack Obama, ametoa hotuba yake ya mwisho kuwaaga Wamarekani baada ya kuwatumikia raia wake kwa miaka yote hiyo  minane.
Hotuba hiyo iliyojaa hisia nyingi pamoja na simanzi, Raisi amewasihi sana wamarekeni wazidi kulinda demokrasi yao.

 Mke wa Baraka Obama, Michelle akimkumbatia kwa hisia kali mume wake baada ya kupanda jukwaani kuungana naye

Jumatatu, 9 Januari 2017

kuwa wakawanza kuangalia kichuba kipya kutoka kwa msanii Roberto kutoka Zambia, ambaye alifanya vizuri na kichupa cha “Amarula”, ameachia video yake mpya ya ngoma inaitwa “Into You”.


Jumapili, 8 Januari 2017

SNURA ACHIA VIDEO YA MPYA YA SHINDU


Msanii Snura ameachia video yake mpya ya wimbo wake  unaitwa “Shindu”,video imeongozwa na Pablo, kuwa wakwanza kuitazama video hiyo.


MASTAA WENGI KUJITOKEZA KATIKA SHEREHE YA KUAGWA RAISI BARACK OBAMA


Mastaa wengi wikiendi hii walimiminika  white house kwenye sherehe za kuagwa kwa Rais Barack Obama.


Kwa mastaa ambao waliweza kutokea siku hiyo kwenye sherehe ya kuagwa kwa raisi Barack Obama ni Paul McCartney, Meryl Streep, Pharrell na Solange, Robert De Niro, Common Usher na wengine.
Wengine ni Wale, John Legend, Bradley Cooper, Magic Johnson, Tom Hanks, Kelly Rowland
.picha zao zikionekana hapo chini








MAZOEZI NI MUHIMU KWA AFYA YAKO

Kuwa na afya bora ni msingi wa kila binadamu, ili uweze kufikia na kufanikiwa malengo inakulazimu uwe na afya bora, endapo kama afya yako itakuwa mbovu kamwe hauwezi kufikia mafanikio hayo unayoyatarajia, kwasababu unapokuwa na afya bora inakupa nguvu ya kuishi maisha bora wakati wote na kukuwezesha wewe kukamilisha mambo mengi bila kuteteleka.


Kuna msemo unapendwa kutumiwa sana usemao "Mwili haujengwi kwa matofauli"  ndiyo afya yenyewe inayozumngumziwa hapo kwamba mazoezi yana umuhimu sana katika afya yetu kwa maisha tunayoishi sasa, vyakula tunavyokula ndio vinavyoweza kutuamulia afya zetu ziweje kwa sasa na baadae.


 Wengi huwa wanafanya mazoezi bila kufahamu yanafanya kazi gani kwenye mwili, kuna faida nyingi za kufanya mazoezi ambazo mazoezi haya yanatusaidia sana kujenga afya zetu kuwa imara na kuendelea kuishimaisha bora.

  1. Mazoezi ya mwili husaidia kuruhusu damu nyingi za kwenda sehemu zote za mwili, na kufanya miguu na mikono ipate joto.
  2. Mazoezi hukufanya kuwa na nguvu nyingi na kukuepusha kupatwa na uchovu wa kimwili, na kimawazo haraka.
  3. Pia yanasaidia ubongo kutengeneza dawa ambayo  inakupa wewe hali ya kujisikia vizuri, na kukuongezea ustahimilivu wa maumivu.
  4. Mazoezi yanaondoa mambo yote nikimaanisha mkzo wa mwili pia mfadhaiko wa moyo na kukusaidia wewe uwe unajisikia vizuri maisha yako yote.
  5. Yanasaidia kuweka rangi ya uso wako, na kukufanya wewe kuwa katika hali nzuri kimwili.

Kama wewe ni mmoja wa ambao hukuwa na ratiba ya kufanya mazoezi, anza sasa taratibu na kuongeza nguvu hatua kwa hatua 

Khloe Kardashian shares incredible before and after photo from 40lbs weight loss after being called 'the chubby one'



Khloe Kardashian's new TV show, Revenge Body, is set to debut next week and she's inspiring her fans with motivational photos.

On Saturday, the 32-year-old illustrated her stunning 40lbs weight loss with a before-and-after picture taken from the red carpet years ago and on a recent night out as she wore white
.

“If you were to ask me five years ago if I ever saw myself being completely in love with fitness and health. That I would be an inspiration to many others, that I would be the push that others needed to find their way. I would've laughed in your face. Me? The chubby one? No way! But now I can't see myself ever stopping!” she captioned the post.

“I am completely honored and taking my role seriously in helping motivate and teach people what I had to learn to better myself from the inside out. Becoming stronger mentally so I can't let the little things break me down. I see myself only getting better and better! I can't believe how far I have come! I almost can't believe that was me! If you've lost your motivation don't beat yourself up about it, negative thoughts only turn into negative realities. By keeping positive about your body, your inner health, your mental sanity, your fitness and what you're trying to achieve, you're way more likely to succeed. My fitness journey was for myself and myself alone. On my terms and on my timeline! Cheers to us becoming better than we were yesterday! #RevengeBody ”
.

The reality star recently revealed how she lost almost three stone in a year in a bid to bury her sadness about her marriage breakdown.

Khloe went on a health kick back in 2015 after her relationship with Lamar Odom began to fall apart, and she's since written a book – Strong Looks Better Naked – about her transformation.

Now she's come top of heat magazine's 2016 Fit List, beating Scarlett Moffatt, Adriana Lima and Charlotte Crosby to the number one spot after shedding 40lbs with daily workouts and a disciplined diet.

ALIKIBA ATOA RATIBA YA TOUR ZAKE ATAKAZOFANYA


Mwaka 2017 utakuwa wa ubusy mwingi kwa mwamuziki Alikiba. a k a Kingkiba



Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao the kingmaster   wa nyimbo ya Aje, ametangaza ratiba ya tour nyingine nchini Marekani.

Mkali huyo atatumbuiza ndani ya jiji la  Las Vegas, Austin, Houston, Minneapolis na Minnesota. Ziara hizo zitaanza  rasmi  mwezi March 4 hadi April
.

Katika tour yake SA (South Africa), Kingkiba atazulu miji mitano ambayo ni Johannesburg, Durban, Cape Town, Pretoria  pamoja na Soweto.


Mike Tyson agrees to train Chris Brown for Soulja Boy fight after 50 Cent calls in a big favour

Mike Tyson will train Chris Brown for his celebrity boxing match with Soulja Boy.

The 27-year-old singer and Atlanta rapper - who are embroiled in a bitter feud and have exchanged blows on social media - will take their fury inside the ring in March and Mike has agreed to train Chris.






50 Cent , 41, arranged for Mike to help with Chris' training after he placed a bet for $100,000 with Floyd Mayweather, 39 - who is training Soulja Boy - that Chris will win and he posted a video on Instagram of the conversation between him and Mike.


In the video, 50 Cent said: "Listen Mike, they say Floyd's going to be training Soulja Boy so I said I've gotta get Mike Tyson to train Chris Brown," and Mike responded: "Yeah, Soulja Boy's gonna get f****d up!"

Jumamosi, 7 Januari 2017

BABA YANGU ALIATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA- HEMEDY PHD

Utumiaji wa madawa ya kulevya ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu na tumepoteza nguvu kazi za taifa nyingi na  huleta madhara makubwa sana kwenye familia, hata katika familia ambazo hujawahi fikiria kama ingekutokea.

 n  

Muimbaji na Muigizaji Hemedy Phd amedai kuwa baba yake mzazi ni mmoja ya watu walioathirika na madawa ya kulevya.
" Baba yangu aliathirika na madawa ya kulevya na tulijitahidi sana kumtibu zaidi ya mara 6 lakini ikashindikana" alisema Hemedy Phd.
"Mara ya mwisho tukagundua wewe mwenyewe unatakiwa uwamue kutoka moyoni kwamba utaka kuchana na madawa ya kulevya"
Pia alikanusha  tetesi zilizosambaa kwamba yeye nae ni mtumiaji wa madawa ya kulevya 

WORDS OF WISDOM OF THE DAY






“It is your decisions not your conditions that truly shape the quality of your life.”Anthony Robbins


“How do we keep our inner fire alive? Two things, at minimum, are needed: an ability to appreciate the positives in our life - and a commitment to action. Every day, it’s important to ask and answer these questions: ‘What’s good in my life?’ and ‘What needs to be done?’” Nathaniel Branden

KENYA WANAMKUBALI SANA DARASSA

Mashabiki wa muziki wa nchini Kenya wanamkubali sana mwanamuziki Darassa, na Hilo limethibitishwa  kwa ujumbe aliouandika muimbaji wa nchi hiyo, Nyota Ndogo kwenye akaunti yake  Instagram.
                                                                                                                                            
Nyota Ndogo aliweka picha ya mashabiki na kuandika, “@darassacmg plz kuna pesa zako kenya zinakusubiri.this was my show in malindi.nimemaliza kupiga show  lakini mashabiki wanamuomba dj acheze nyimbo yako 'MUZIKI' na mimi ni dance. nipo na video yani mimi ni dance.
kimbia  mara moja kabla nyimbo haijaisha ufanye tour ongea na @gatesmgenge nimzuri wakupiga debe. unamashabiki sio tz peke ake.do it now.”


Nyimbo hii imekuwa kama nyimbo ya taifa sasa sio kwa Tanzania peke ake ila hata East Africa nzima, so bwana Darassa go collect your money.


MWAKA 2017 NISHA ANARUDI KWENYE MOVIE


Muigizaji wa filamu za vichekesho Salma  Jabu ama anaejulikana kama 'Nisha'  amesema mwaka ulipita alifanya filamu chache, na muda wake mwingi kutumia kuimarisha zaidi biashara zake.
"Mwaka uliopita ulikuwa ni mwaka wangu wa biashara tofauti na movie, kwasababu nimefanya biashara  huku  movie nikiipa muda mchache sana, yote hayo  nilifanya ili kuweka msingi ili niingize kipato bila  kutumia 'NISHA'. Kwasababu kuna maisha baada ya movie na pia umri unazidi kwenda "
Muigizaji huyu ambaye anafanya biashara ya vipodozi na nguo, amedai kuwa alikuwa anaweka mazingira ya biashara zake zikae safi kwa kuwa hawezi kutegemea kuigiza maisha yake yote
"Na mwaka 2017 ndio mwaka wa kuliziba ufa kwenye filamu na Nishasfilm Production, na no timeto waste na drama" alisema Nisha 
So mashabiki wa Nisha wasubiri movie kali kutoka Nishasfilm Production.

Ijumaa, 6 Januari 2017


               
                 FAHAMU MATUNDA MATANO YANAYOWEZA KUFANYA NGOZI YAKO IWE KATIKA MUONEKANO MZURI.


 Katika maisha watu wamechukulia mazoea sana katika ulaji wa matunda na kutotilia maanani bila kujua kuwa matunda ni muhimu sana katika miili yetu, na yanatukinga na magonjwa pia  kuipa ngozi yetu  muonekano mzuri kila siku.
Kwahiyo kuna kila sababu ya kukubali kuwa matunda yana umuhimu katika miili yetu kwasababu yanaongeza vitamini zifuatazo;

PARACHICHI;  Ni tunda ambalo ni maarufu sana na linatumika katika kutengeneza juisi, tunda hili lina vitamini za kutosha ambapo huongeza mafuta mwilini, kwa wanaopenda kulitumia inashauriwa kula au kunywa juisi ya parachichi hususani kama huna tatizo la kuzidi kwa mafuta mwilini. Pia Parachichi huongeza uzito endapo utalitumia mara kwa mara
.


 Ni tunda  linalopendwa na watu wengi sana ni kwasababu  tamu na lina ladha safi.

NDIZI; Hulainisha ngozi ya usoni iliyokauka na kusaidia katika umeng'enyo wa chakula. 


PAPAI; Hili ni tunda moja wapo ambalo linaweza kung'arisha ngozi yako na kuifanya iwe na muonekano mzuri, yote haya hufanyika na enzyme inayotokana na papai itwayo 'papain,' endapo kama utahitaji kusafisha uso wako ni vizuri kutumia papai lililo iva changanya na asali  itasaidia uso wako kuwa katika muonekano mzuri.




CHUNGWA; Tunda hili linasaidia kurejesha ngozi iliyodhurika na kuipa uhalisia ngozi yako, jinsi ya kuthibitisha hilo chukua juisi ya chungwa ya baridi paka usoni kaa nayo kwa dakika10  kisha osha uso wako then utaona matokeo.




KAROTI; Ni tunda ambalo hutumika kama kiongo katika chakula,hili husaidia kuzuia saratani hasa zitokanazo na uvutaji wa sigara ( saratani ya mapafu), pia hushusha kolestro katika damu na huzuia ukosefu wa choo.