Ijumaa, 6 Januari 2017

NAY WA MITEGO ANAKUJA KIVINGINE...




 Nay wa Mitego  akiendelea kutetemesha soko la muziki kwenye hip hop na wimbo ‘Sijiwezi’ anazidi kutisha kwa  kuachia kazi mpya hivi karibuni.
  Rapper huyo ambaye amezidi kuonyesha uwezo wake  mkubwa wa uimbaji katika wimboSijiwezi’, hivi karibuni  bado ndani ana ngoma zakutosha ambazo anaweza kuziachia muda wowote.
Na amewaambia mashabiki wake wajiandae kupokea ujio wake mpya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni