Genevieve Emmanuel amabe alikuwa miss Tanzania 2010 nae ameingia katika orodha ya wasani kwa kutoa ngoma yake mpya ya nana ambayo inatrend sanagoma hiyo imetayarisha na Luffa.
Dondoka youtube uwe wa kwanza kuisikila nyimbo ya Genevive Emmanuel Miss Tanzania 2010
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni