Jumamosi, 7 Januari 2017

KENYA WANAMKUBALI SANA DARASSA

Mashabiki wa muziki wa nchini Kenya wanamkubali sana mwanamuziki Darassa, na Hilo limethibitishwa  kwa ujumbe aliouandika muimbaji wa nchi hiyo, Nyota Ndogo kwenye akaunti yake  Instagram.
                                                                                                                                            
Nyota Ndogo aliweka picha ya mashabiki na kuandika, “@darassacmg plz kuna pesa zako kenya zinakusubiri.this was my show in malindi.nimemaliza kupiga show  lakini mashabiki wanamuomba dj acheze nyimbo yako 'MUZIKI' na mimi ni dance. nipo na video yani mimi ni dance.
kimbia  mara moja kabla nyimbo haijaisha ufanye tour ongea na @gatesmgenge nimzuri wakupiga debe. unamashabiki sio tz peke ake.do it now.”


Nyimbo hii imekuwa kama nyimbo ya taifa sasa sio kwa Tanzania peke ake ila hata East Africa nzima, so bwana Darassa go collect your money.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni