Jumapili, 8 Januari 2017

ALIKIBA ATOA RATIBA YA TOUR ZAKE ATAKAZOFANYA


Mwaka 2017 utakuwa wa ubusy mwingi kwa mwamuziki Alikiba. a k a Kingkiba



Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao the kingmaster   wa nyimbo ya Aje, ametangaza ratiba ya tour nyingine nchini Marekani.

Mkali huyo atatumbuiza ndani ya jiji la  Las Vegas, Austin, Houston, Minneapolis na Minnesota. Ziara hizo zitaanza  rasmi  mwezi March 4 hadi April
.

Katika tour yake SA (South Africa), Kingkiba atazulu miji mitano ambayo ni Johannesburg, Durban, Cape Town, Pretoria  pamoja na Soweto.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni