Rais Barack Obama, ametoa hotuba yake ya mwisho kuwaaga Wamarekani baada ya kuwatumikia raia wake kwa miaka yote hiyo minane.
Hotuba hiyo iliyojaa hisia nyingi pamoja na simanzi, Raisi amewasihi sana wamarekeni wazidi kulinda demokrasi yao.
Mke wa Baraka Obama, Michelle akimkumbatia kwa hisia kali mume wake baada ya kupanda jukwaani kuungana naye
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni