Jumatano, 11 Januari 2017

IZZO BIZNESS NI MMOJA YA WATU ALIOSAIDIA NA CHIDI BENZI ALIPOFULIA

Ditto alizungumza kwa ufupi akasema katika watu wenye roho nzuri ya kusaidia watu Chidi Benzi ni namba moja.


 Izzo Bizness amekiri kuwa mmoja wa watu walionufaika na ukarimu wa Chidi Benz.
“Hata mimi wakati sina kitu yaani, unakuta unampigia simu [Chidi Benz] ‘ebana eh inakuaje uko wapi? Hebu njoo tukutane Ubungo.’ Unaenda unachezea labda shilingi 50 fulani, shilingi 30,” alisema Izzo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni