Msanii wa Nigeria Yemi Alade na wimbo mpya wa "Sugar & Spice" maalumu kwajili ya siku ya wapendanao februari 14 kila mwaka so...kwa wale wenye kutuma madedix kwa ma bebez......Yemi Alade amekupa kitu kipya ambayo ataitambulisha rasmi sikuya Jumatatu..
“VALENTINE CAME EARLY…. #SUGARNSPICE. 

VIDEO OUT ON THE 9TH – 01 – 2017,” ameandika Yemi Alade kwenye akaunti ya instagram...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni